π™Šπ™Žπ˜Όπ™ˆπ˜Ό π˜½π™„π™‰ π™‡π˜Όπ˜Ώπ™€π™‰ SEPTEMBER 11


 ... πŸ‡ΊπŸ‡² ›› π™Šπ™Žπ˜Όπ™ˆπ˜Ό π˜½π™„π™‰ π™‡π˜Όπ˜Ώπ™€π™‰


Leo Jumatatu  11 September 2023 ni kumbukumbu ya miaka (22) baada ya tukio kubwa zaidi la Kigaidi lililoua watu zaidi ya elfu tatu.


π™„π™‘π™žπ™ π™ͺ𝙬𝙖 11 π™Žπ™šπ™₯π™©π™šπ™’π™—π™šπ™§ 2001 ;


πŸ•‘ Saa 2:45 Asubuhi, ndege ya (1) aina ya '(Boeing 767) kutoka kwenye shirika la ndege la ''American Airlines'' iligonga upande wa kaskazini mwa mnara wa ''World Trade Center', jengo refu zaidi USA πŸ‡ΊπŸ‡² na Duniani wakati huo.


πŸ•‘ Ilipofika saa 3:03 Asubuhi ndege ya (2) aina ya '(Flight 175') kutoka kwenye kampuni ya  ''United Airlines'' iligonga upande wa kusini mwa mnara wa ''World Trade center''


πŸ•‘ Ilipofika saa 3:37 asubuhi ndege ya (3) kutoka shirika la ndege la ''American Arlines'' (Flight 77) ilianguka yalipo makao makuu ya wizara ya ulinzi nchini Marekani ''Pentagon''


πŸ•‘ Majira ya saa 4:03 Asubuhi ndege ya (4) kutoka ''United Airlines'' aina ya (Flight 93) ilianguka huko Pennsylvania, na kukamilisha idadi ya ndege nne ambazo zilifanya shambulio hilo la kuogofya Nchini Marekani πŸ‡ΊπŸ‡²


πŸ“Œ Jumla ya mashambulio yote yaliyotokea ''Septemba 11'' yalisababisha vifo vya zaidi ya watu (3,000+) including magaidi (19) walioziteka ndege hizo na kuziongoza kugonga majengo hayo.


Magaidi waliwateka marubani kisha wao ndio wakaziongoza ndege hizo zilizokuwa na abiria kugonga jengo hilo na zingine kuzidondosha chini hasa target yao ilikuwa zianguke katikati ya makao makuu ya wizara ya ulinzi wa Marekani πŸ‡ΊπŸ‡² Pentagon, tukio hilo halikufanikiwa.


◉ 2,977 — Watu waliokufa siku hiyo.

◉ 2,606 — Watu waliokufa wakiwa World Trade Center .


◉ 246 - Watu waliokufa wakiwa kwenye ndege Including (40) passengers & crew of flight 93 in Shanksville, PA.


◉ 125 - Watu waliokufa Pentagon.


Baada ya siku hiyo idadi ya vifo iliongezeka kwa watu waliokuwa majeruhi na kupindukia watu 3,000+.


π™Šπ™¨π™–π™’π™– π˜½π™žπ™£ π™‡π™–π™™π™šπ™£


Zoezi zima la ugaidi huo liliratibiwa na Billionaire kijana wakati huo OSAMA BIN LADEN ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la AL QAEDA.


Osama Bin Mohamed Bin Awadh Bin Laden alizaliwa Nchini Saudi Arabia πŸ‡ΈπŸ‡¦ 10 March 1957. Uraia wake Nchini Saudi Arabia ulisitishwa 1994, kuanzia 1994-2011 hakuwa Raia wa Nchi yoyote Duniani.


 Wakati anatekeleza tukio hilo alikuwa na umri wa miaka (41) .. Alikuwa ndiye founder na first general emir wa Al Qaeda kuanzia 1988-2011.


Osama Bin Laden aliuawa kutokana na majeraha mabaya ya risasi 2 May 2011 akiwa na umri wa miaka (54).


πŸ“Œ Robert J. O'Neill kutoka kikosi maalumu cha Kijesusi cha Marekani πŸ‡ΊπŸ‡² NEAVY SEAL ndiye aliyemuua Osama Bin Laden 2011 baada ya kikosi hicho kuvamia mahali alipokuwa amejificha akiwa na wake zake Nchini Afghanistan πŸ‡¦πŸ‡«


Lengo la makomando hao ilikuwa wamkamate Osama akiwa hai na kumpeleka Marekani lakini purukushani zilizotokea kutoka kwa walinzi wake wakati wa ambush hiyo ilipelekea O'Nell kumjeruhi kwa risasi kisha kupoteza maisha baadae.


Makomando hao waliondoka na mwili wake, wakawakamata pia wake zake. Mwili wa Osama ulizikwa kwa siri haijulikani kaburi lake lilipo .. Barack Obama Rais wa Marekani wakati huo alitangaza rasmi kifo cha Osama Bin Laden 2011.


Tukio hili linatajwa kuwa miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi ya kigaidi kuwahi kufanyika Duniani.

Comments

Popular posts from this blog

eSIM revolution

KAZI NA UMUHIMU WA SNORKEL "MKONGA" KWENYE GARI

JIFUNZE KUHUSU TOYOTA PROBOX