Posts

Showing posts from October, 2023

HISTORIA YA ERWIN SCHRÖDINGER NA TAFITI ZAKE MAARUFU

Image
  Mmoja ya mdau aliomba ni muongelee erwin schrödinger katika chapisho lijalo" Athumani Juma" •Erwin schrödinger alikuwa mwanafizikia maarufu wa Austria na mtaalamu wa nadharia ya quantum katika miaka ya 1920 na 1930 ,Alizaliwa mnamo Agosti tarehe 12 mwaka 1887 huko vienna Austria na alifariki mnamo januari 4 mwaka 1961  •Moja ya mchango wake wa kipekee katika fizikia ni uundaji wa equation ya schrödinger ambayo ni msingi wa nadharia za quantum ,Equation hii inaweza kutabiri tabia ya chembe ndogo kama vile elektroni na imesaidia kufafanua sifa za kimwili za vifaa vya quantum. •Licha ya umuhimu wake katika kukuza nadharia za quantum ,schrödinger anajulikana zaidi kwa ajili ya majaribio maarufu kama jaribio la paka la schrödinger  Aliweza pokea Tuzo nobel ya fizikia mnamo 1933 kwa ugunduzi wake wa equation ya schrödinger  Hizi ni gunduzi kazaa za erwin schrödinger 1.Wave mechanics:Schrödinger alitunga na kuendeleza mfumo wa equation za kibango za kugundua hali ya mwendo wa magi