Posts

Showing posts from September, 2023

π™Šπ™Žπ˜Όπ™ˆπ˜Ό π˜½π™„π™‰ π™‡π˜Όπ˜Ώπ™€π™‰ SEPTEMBER 11

Image
 ... πŸ‡ΊπŸ‡² ›› π™Šπ™Žπ˜Όπ™ˆπ˜Ό π˜½π™„π™‰ π™‡π˜Όπ˜Ώπ™€π™‰ Leo Jumatatu  11 September 2023 ni kumbukumbu ya miaka (22) baada ya tukio kubwa zaidi la Kigaidi lililoua watu zaidi ya elfu tatu. π™„π™‘π™žπ™ π™ͺ𝙬𝙖 11 π™Žπ™šπ™₯π™©π™šπ™’π™—π™šπ™§ 2001 ; πŸ•‘ Saa 2:45 Asubuhi, ndege ya (1) aina ya '(Boeing 767) kutoka kwenye shirika la ndege la ''American Airlines'' iligonga upande wa kaskazini mwa mnara wa ''World Trade Center', jengo refu zaidi USA πŸ‡ΊπŸ‡² na Duniani wakati huo. πŸ•‘ Ilipofika saa 3:03 Asubuhi ndege ya (2) aina ya '(Flight 175') kutoka kwenye kampuni ya  ''United Airlines'' iligonga upande wa kusini mwa mnara wa ''World Trade center'' πŸ•‘ Ilipofika saa 3:37 asubuhi ndege ya (3) kutoka shirika la ndege la ''American Arlines'' (Flight 77) ilianguka yalipo makao makuu ya wizara ya ulinzi nchini Marekani ''Pentagon'' πŸ•‘ Majira ya saa 4:03 Asubuhi ndege ya (4) kutoka ''United Airlines'' aina ya (Fl...